Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Crescentius Magori, akitoa maelekezo kwa Wajumbe saba wa Bodi ya NSSF Kenya, waliotembelea Tanzania jana kwa ajili ya kujifunza kuhusu mafanikio ya uwekezaji ya shirika hilo.
Magori akiwaelekeza jambo wajumbe wa NSSF Kenya jinsi Shirika hilo lilivyofanikiwa kuwa na vitega uchumi vingi vya uwekezaji.
Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau (kulia), Mkurugenzi wa Fedha, Bw. Ludovick Mrosso, na Mwanasheria wa Shirika hilo Bw. Komba wakiwa kwenye mkutano na wageni wao kutoka Kenya.
Ujunmbe wa watu saba kutoka NSSF Kenya wakimsikiliza Bw. Magori
Hapa Maofisa wa NSSF Tanzania (kushoto), wakiwa na wageni wao kutoka NSSF Kenya.

Comments
Post a Comment