Mashabiki wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa wakimbeba juu Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Bw. John Mnyika baada ya kushinda kesi dhidi ya mpinzani wake Bi. Hawa Ng'umbi, aliyeshindwa kuthibitisha madai yake wakati wa uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Mashabiki wakimsindikiza John Mnyika baada ya kuibuka mshindi wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Ubungo.
John Mnyika na washirika wake wakiingia Mahakama Kuu, Dar es Salaam leo kusikiliza hukumu ya kesi ya kupinga matokeo.
Mashabiki wa CHADEMA wakiwa nje ya Mahakama Kuu Dar es Salaam leo, kusikiliza hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi.
Mpinzani wa John Mnyika Bi. Hawa Ng'umbi akisikiliza hukumu ya kesi hiyo leo.
Polisi wakiwasihi wananchi waache vurugu, wakati hukumu ikisomwa leo
Mashabiki wa Chadema wakifurahia mitaani baada ya hukumu.
Pilisi wakifanya doria eneo la Mahakama Kuu leo

Comments
Post a Comment