Umati wa wananchi wa Dar es Salaam, ukimsindikiza Mbunge wa Ubungo, Bw. John Mnyika
Hapa Mnyika akibebwa juu na wanachama wa Chadema, baada ya kushinda kesi
Mashabiki wa Chedema wakisubiri matokeo ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ubungo.
Hapa mashabiki wakishangilia baada ya Jaji kutangaza kuwa Mnyika ameshinda kesi.
Hapa magari ya polisi yakiimalisha ulinzi eneo la Mahakama Kuu, Dar es Salaam.
Shabiki wa Chadema akibebwa na wenzao baada ya kuumia wakati akishangilia ushindi wa Mnyika.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika na mashabiki wa Chadema wakionesha alama ya vidole viwili, baada ya kutoka Mahakama Kuu, Dar es Salaam.wakiwa wameshinda kesi.
Mnyika na msafara wake wakitembea kwa miguu kuelekea Ubungo, baada ya kushinda kesi.
Shabiki akionesha bango, baada ya Myika kushinda kesi
Mwanafunzi huyu alishindwa kujizua na kupita mitaani akiwa na bango
Msafara ukipita kwenye taa za kuongoza magari eneo la Magomeni
Hapa Mnyika akiwashukru wananchi kwa maombi yao, baada ya kushinda kesi ya Ubunge

Comments
Post a Comment