Gwaride la Wanafunzi Jitegemee Sekondari latia fora

Mkuu wa Mafunzo na Elimu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali  Jason Musikula, akiwasili kwenye viwanja vya paredi, katika Shule ya Sekondari Jitegemee, Dar es Salaam, kukagua gwaride maalumu lililoandaliwa na wanafunzi. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Luteni Kanali Martine Mkisi.
Kanali Musikula na wageni wake wakielekea kwenye viwanja vya paredi

 Mkuu wa Mafunzo na Elimu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali  Jason Musikula akikaguwa gwaride wa wanafunzi Jitegemee wasichana
 Mkuu wa Mafunzo na Elimu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali  Jason Musikula akikaguwa gwaride wa wanafunzi Jitegemee wavulana

  Mkuu wa Mafunzo na Elimu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali  Jason Musikula akipiga saluti kuwapongeza wanafunzi wa Jitegemee kutokana na ukakamavu walioonesha
 Kanali  Jason Musikula (kulia) na Mkuu wa Shule ya Sekondari Jitegemee Luteni Kanali Martine Mkisi, wakifuatilia gwaride la wanafunzi
 Gwaride la wanafunzi likipita mbele ya mgeni rasmi

Mgeni rasmi na maofisa wa Jeshi wakitoa heshima, wakati gwaride likipita mbele yao.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU