NSSF NA MICHEZO YA UFUKWENI

Wavuta kamba wa timu ya Wazazi wakiwa wameanguka chini baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Ecko Benki Ufukweni, Dar es Salaam jana.
Hapa wavuta kamba wa timu wa Wazazi wakifanya jitihada za kuvuta kamba na kupata ushindi
 Hapa Wavuta kamba wa Ecko Benki wakiwa wameanguka chini na kupoteza mchezo wao
Hapa ni fainali, wavuta kamba wa timu ya wazazi wakivuta kamba na kushinda mchezo wa tatu
 Hapa Ecko Benki wamezidiwa tena na kupoteza mchezo dhidi ya wazazi
Hapa wakiwa wamepoteza mwelekeo na kuruhusu wazazi kupata ushindi
 Hapa wavuta kamba wa timu ya wazazi wakimaliza kazi waliyotumwa na watoto.
Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Hadija Komba (kulia), akikabidhi zawadi ya madaftari kwa wachezaji wa timu ya wazazi, iliyopata ushindi ya mchangani baada ya kuwashinda Ecko Benki, katika shindano ya kuvuta kamba kwenye ufukwe wa Bahari, Dar es Salaam jana.
Hadija Komba (kulia), akikabidhi madaftari kwa mchezaji wa timu ya wazazi, iliyopata ushindi ya mchangani kwa kuwashinda Ecko Benki, katika shindano ya kuvuta kamba, Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu)


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru