Katibu wa Pakaya Bw. Jamali Sagala (katikati), Mkurugenzi Bw. Bakali Kisoma (kushoto) na Bw. Hashimi Ngubege, ambaye ni mhazina wa kikundi cha Rege cha upandaji miti kilichopo katika kijiji cha Kibiti B tarafa ya Kibiti wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani walipotembelea eneo hilo kukagua miche
Hapa wakiangalia aina ya miche iliyoandaliwa
Hapa wakipata maelezo kuhusu mkakati wa kuendeleza miti
Hapa wakizungumza na baadhi ya wananchi wa Rufiji, mkoani Pwani
Hapa Wakulima wa korosho wa kijiji cha Mgomba kati wakibangua korosho zao baada ya kukosa soko la uhakika, hivyo wanazibangua na kuzijaza kwenye pakti na kuziuza kati ya sh. 500 na 1000.
Comments
Post a Comment