YANGA YAIFANYIA KWELI PRISONS, YAICHAKAZA 3-1



 Wachezaji wa Prisons wakiwasalia wenzao wa Yanga kabla ya pambano.
 Kikosi cha Yanga kilichofanyia kweli Prisons leo
 Kikosi cha Prisons kilichokiona na mtemakuni kwa Yanga
 Manahodha Nadir Haroub Kanavaro wa Yanga (kulia) na Sino Agustino wa Prisons wakisalimiana mbele ya waamuzi kabla ya mchezo


 Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbangu akijaribu kumtoka mlinzi wa Prisons, Lugano Mwangama (kulia)

Simon Msuva wa Yanga akiambaa na mpira mbele ya beki wa Prisons Lugano Mwangama

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Jerry Tegete




 
 Goli la pili la Yanga lililofungwa na Mbuyu Twite
 Mbuyu Twite wa Yanga akishangia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Prisons Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.

 Washambuliaji wa Yanga Jerry Tegete (kulia) na Simon Msuva wakishangilia bao la tatu lililofungwa na Tegete

 Tegete akijaribu kumtoka mlinzi wa Prisons Aziz Sibo, aliyekaa chini.


Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU