JK NA KASI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Dkt. John S. Ndunguru (kulia), akimuonesha Rais Jakaya Kikwete, maendeleo ya ujenzi wa Daraja la kisasa la Kikwete linalojengwa Mto Malagarasi, wakati wa Rais Kikwete alipokagua ujenzi wa daraja hilo, Wilayani Uvinza, mkoani Kigoma hivi karibuni..
Rais Kikwete na msafara wake wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalokaribia kukamilika (wa tatu kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Dkt. John S. Ndunguru, aliyemwakilisha Waziri wa Ujenzi.
Rais Kikwete akiwasikiliza wajenzi wa daraja hilo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU