Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, December 27, 2013

WASANII KISASA GROUP WAPIGWA MSASA CHUO KIKUU DSM

MTAALAMU WA SANAA WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, RICHARD NDUNGURU AKIFAFANUA JAMBO WAKATI AKITOA MAFUNZO YA SANAA KWA WASANII KUTOKA KIKUNDI CHA KISASA SANAA TEMEKE, HIVI KARIBUNI
MSANII WA KINDI CHA KISASA AKIULIZA SWALI KUHUSU MWELEKEO WA SANAA NA JINSI YA KUSHIRIKI KATIKA SANAA, WAKATI WA MAFUNZO CHUO KIKUU UDSM
RICHARD NDUNGURU AKIANDIKA UBAONI BAADA YA KUULIZWA MASWALI NA WASANII WA KISASA SANAA GROUP.
HAPA RICHARD NDUNGURU AKIFUNDISHA KWA VITENDO DARASANI
HAPA RICHARD NDUNGURU AKIWAELEKEZA WASANII WA KISASA JINSI YA KUTUMIA MWANGA WA USIKU NA MCHANA WAKATI WA KUIGIZA FILAMU HUSIKA.
MMENIELEWA, NDIVYO ANAVYOWAULIZA WASANII BAADA YA KUWAPIGA MSASA KISAWASAWA DARASANI
PICHA YA PAMOJA, RICHARD NDUNGURU NA WASANII WA KISASA GROUP WALIOSHIRIKI MAFUNZO YA MUDA MFUPI YA SANAA CHUO KIKUU

PICHA HIZI KILA MSAANII ALIJISIKIA KUPIGA PICHA PAMOJA NA NDUNGURU


MWENYEKITI WA KISASA BW. OMARI KISANDULA NA BAADHI YA VIONGOZI WA KIKUNDI HICHO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA RICHARD NDUNGURU (WA TATU KULIA)

No comments:

Post a Comment