Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, December 26, 2013

WASOMAJI WANGU TUKO PAMOJA

WAPENDWA WASOMAJI WA HADITHI ZA UPELEZI WA KUSISIMUA KUPITIA BLOG HII YA MPIGANAJI, NATUMIA NAFASI HII KUWAOMBA RADHI KWA KUSITISHA HADITHI YA HOFU ILIYOANZA KUTOKA BAADA YA ILE YA NJAMA KUFIKIA TAMATI. BAADHI YA WASOMAJI WAMENIPIGIA SIMU KUNISISITIZA NIENDELEE KUWALETEA HADHITHI HIYO NAMI NAWAAHIDI KUWA KUANZIA KESHO NITAENELEA KUWALETEA UHONDO KUTOKA KATIKA KITABU CHA HOFU.

No comments:

Post a Comment