Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, April 15, 2014

BUSINESS TIMES WATWAA UMALKIA WA NETIBOLI NSSF MEDIA CUP 2014

NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO JUMA NKAMIA AKIKABIDHI KOMBE LA UBINGWA WA NETIBOLI NSSF MEDIA CUP 2014 KWA NAHODHA WA BUSINESS TIMES LULU HABIBU. KUSHOTO NI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), DKT. RAMADHAN DAU.
LULU AKIPOKEA FEDHA KWA NAIBU WAZIRI NKAMIA BAADA YA KUTWAA KIATU CHA UFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP 2014
NAHODHA WA HABARI ZANZIBAR AKIPOKEA KOMBE LA MSHINDI WA PILI
NAHODHA WA MWANANCHI IMAN MAKONGORO AKIPOKEA FEDHA ZA MSHINDI WA TATU, BAADA YA NAFASI HIYO KUTWALIWA NA NSSF WALIOCHUKUA KOMBE.

PICHA MBALI MABLI ZIKIMUONESHA NAHODHA WA NSSF PILI MOGELA AKIPOKEA KOMBE LA MSHINDI WA TATU KUTOKA KWA NAIBU WAZIRI NKAMI NA KULIPELEKA KWA WACHEZAJI WENZAKE
MPIRA WANGU, NDIVYO WANAVYOELEKEA KUSEMA WACHEZAJI WA TIMU ZA NETIBOLI ZA MWANANCHI NA NSSF, ZILIPOCHUANA KUTAFUTA MSHINDI WA TATU WA NSSF MEDIA CUP 2014

HONGERA SANA, DKT DAU AKIMPONGEZA MMOJA WA WAAMUZI WA MCHEZO WA NETIBOLI, BAADA YA KUCHEZESHA VIZURI.

No comments:

Post a Comment