Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, April 15, 2014

MAFURIKO YALETA BALAA DAR, MITO YAJAA, MADARAJA YASOMBWA NA MAJI

DARAJA LA ULONGONI LIKIWA LIMESOMBWA NA MAJI KUFUATIA MAFURIKO MAKUBWA YALIYOLIKUMBA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MIKOA JIRANI
WAKAZI WA ULONGONI WAKIWA UPANDE WA PILI WA MTI BAADA YA KUSHINDWA KUVUKA MTO ULIOJAA MAJI, BAADA YA DARAJA KUKATIKA.
HAPA WAJASIRIAMALI WAKIWA WAMEWEKA MAGOGO YA MNAZI KWA AJILI YA KUVUSHA WANANCHI KWA GHARAMA YA SH. 500 KWA KILA MTU MMOJA

HAPA WAKITAFAKARI KABLA YA KUVUKA MTO KWANI KUPITA KWENYE MITI HIYO PIA NI HATARI, BAADA YA MTU MMOJA KUANGUKA WAKATI AKIJARIBU KUVUSHA PIKIPIKI.


No comments:

Post a Comment