VITA YA DAWA ZA KULEVYA, RAIS KIKWETE ATOA ONYO KALI.

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIZUNGUMZA KABLA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UWANJA MPYA WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM LEO

RAIS KIKWETE AKISISITIZA JAMBO KUHUSU BAADHI YA WATU WANAOTUMIA VIWANJA VYA NDEGE VYA JULIUS NYERERE NA KILIMANJARO KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA NA KUKAMATWA NJE YA NCHI. "OLE WAO WATENDAJI  WATAKAOZEMBEA".
WAZIRI WA UCHUKUZI, DKT, HARRISON MWAKYEMBE, AMBAYE ALIKUWA WAZIRI WA KWANZA KUANZISHA OPEREHENI YA KUKAMATA DAWA ZA KULEVYA KWENYE VIWANJA VYA NDEGE AKIMKARIBISHA RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI
RAIS KIKWETE AKISALIMIANA NA NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI, DKT. CHARLES TIZEBA, ALIPOWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERER, KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UWANJA HUO LEO.
MKURUGENZI WA VIWANJA VYA NDEGE, MHANDISI SULEIMAN SAID SULEIMAN AMBAYE RAIS KIKWETE AMEMSHUKIA LEO KUMTAKA AHAKIKISHE UWANJA DAWA ZA KULEVYA HAZIPITI VIWANJA VYA NDEGE.
RAIS KIKWETE AKIPOKEA KARATASI ZA HOTUBA KUTOKA KWA MLINZI WAKE BRIGEDIA JENERALI KIMARO WA JWTZ.
MHANDISI SULEIMAN AKIMSIKILIZA KWA MAKINI RAIS KIKWETE, HUKU MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SADIK MECK SADICK NA NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI, DKT. CHARLES TIZEBA WAKIMSIKILIZA RAIS

 RAIS KIKWETE AKIANGALIA RAMANI YA UWANJA MYA WA KISASA WA JULIUS NYERERE, UTAKAJENGWA KWA SIKU 168, DAR ES SALAAM LEO.
RAIS KIKWETE AKIKATA UTEPE WAKATI AKIWEKA JIWE LA MSINGI LA UWANJA MPYA
RAIS KIKWETE AKIONDOA KITAMBAA KAMA ISHARA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UWANJA MPYA WA JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM LEO.

ASKARI WA KIKOSI CHA KUZUA FUJO WAKIWA KWENYE GARI KUIMARISHA ULINZI WA RAIS KIKWETE, ALIPOWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UWANJA WA JULIUS NYERERE


JIWE LA MSINGI LILILOZINDULIWA NA RAIS KIKWETE, DAR ES SALAAM LEO

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru