JINA GANI LINAFAA KUPEWA HESHIMA YA JINA LENYE KUSISIMUA KATI YA HAWA

WAPENDWA WASOMAJI WA BLOG YA MPIGANAJI, TUMEANZISHA SHINDANO LA KUWATAFUTA WASHINDI WATATU WENYE MAJINA YA KUSISIMUA. CHAGUA MIONGONI MWA MAJINA HAYA UTUME KWA UJUMBE MFUPI WA MANENO NANI WANAFAA KUWA WASHINDI WETU WATATU 0754296253 NA O784296253

MAJINA YALIOINGIA KWENYE USHINDANI BAADA YA MCHUJO

1. NDG TAMPERA NGUNAMABWOKO - Muhitimu kidato cha sita wavulana Tabora 1992.
2. NDG GOGOMOKA MISALABA - Muhitimu wa kidato cha sita Minaki 1998.
3. NDG ABDALLAH NYUNDO KICHECHE - Mwanafunzi kidato cha kwanza Minaki 2002.
4. NDG MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU - Dereva mabasi ya Hood
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA - Mpishi mkuu 34 KJ, Mbeya.
6. NDG TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa
na maji baridi maarufu Magomeni
7. MHE. NJENGAFIBILI MWAIKUGILE - Jaji Mahakama Kuu ya Tanzania
8. MHE. JOHN POMBE MAGUFULI - Waziri wa Ujenzi Tanzania
9. NDG TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA - Fundi majiko Railway Gerezani DSM
10. NDG BENADETTA TYETYETYE - Muhitimu wa chuo Kikuu DSM 2001 sayansi ya jamii (BA)
11. NDG BUJAGA IZENGO KADAGO - Mtangazaji wa zamani wa RTD.
12. NDG KYOIKILE KANAKU KYOKA - Mhitimu wa Chuo cha Ualimu Murutunguru 1993.
13. NDG AMANI NZUGILE JIDULAMABAMBASI - Mwenyekiti wa zamani wa UDP aliyempindua Cheyo
14. NDG SIMBA NYAMAUMEMBORO - Mtangazaji RTD Kanda ya Kusini.
15. NDG NGADE CHABANGA DYAMWALE - Mchezaji wa ZAMANI Yanga.
16. NDG KINJEKITILE NGOMBALE - MWIRU - Mtoto wa KINGUNGE NGOMBALE - MWIRU.
17. NdG SEGE PUMBU MWILA - Mwanamuziki FM Academia.
18. NDG ENGTRAUD NDAFICK MASONDORE - Mwandishi wa Daily Times.
19. NDG SAASITA KUKURUPUKA - Mhitimu wa Shule ya Msingi Magole, Mwanza 1986.
20. NDG NASONGELYA KILYINGA - Mwandishi Daily News.
21. NDG BEATRICE MPEMBOO - Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza Jangwani mwaka 1994.
22. NDG NDIMARA TEGAMBWAGE - Katibu Mwenezi wa zamani NCCR-Mageuzi.
23. NDG UKIWAONA DITOPILE MZUZURI - ALIKUWA Mkuu wa Mkoa wa TABORA.
24. NDG CHRISANT MAJIYATANGA MZINDAKAYA - ALIKUWA Mbunge wa Kwera.
25. NDG NGAWINA NGAWINA - Mtanzania aLIchezea TP Mazembe Congo.
26. NDG ULIMBOKA MWAKINGWE - ALIKUWA Mchezaji wa Simba.
27. NDG MWINA KADUGUDA - ALIKUWA Katibu Kamati ya Muda ya FAT.
28. NDG MOBHARE MWITA MAHE MATINYI - ALIKUWA Mhariri Mkuu Majira.
29. NDG NYARONYO MWITA KICHEERE - Mwandishi na Mhitimu Shahada ya Sheria.
30. NDG MUNGA TEHENAN - ALIKUWA Mhariri Jitambue
31. NDG MASUKWA NYAMATAGA - MUUZA Bucha ya nyama Nyamuswa.
32. NDG NYAMBULI CHITAMA - ALIKUWA Mwandishi Dar Leo.
33. NDG JOSEPH RUGUMYAMHETO - ALIKUWA Katibu Mkuu  Utumishi.
34. NDG MUTAMWEGA MUGAHYWA - ALIKUWA Mbunge wa Mwibara
35. NDG ABIUDI MUGINI MAREGESI - ALIKUWA Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM
36. NDG ATUFIGWEGWE MWAKALUKWA - ALIKUWA Mchezaji wa Vijana Ilala.
37. NDG KANAELI KAALE - Mwandishi DAILY NEWS.
38. NDG LIKUPILIKA NKOBA - ALIKUWA Mchezaji Tukuyu
39. NDG DAUDI KUFAKUNOGA - ALIKUWA Mchezaji Tukuyu
40. NDG ADAM MWAIBABILE MWANA ANDENGULILE - ALIKUWA Mtangazaji Radio One
41. NDG SEPTEMBA DE NYANG'ORO - Mhitimu Musoma SEC  1991
42. NDG HAJALA BANGI - Mhitimu Songea Girls 1989
43. NDG PENZI NYAMUNGUMI - ALIKUWA Mtangazaji RTD.
44. NDG JUMA NG'WANANG'WAKA - Alikuwa Kamanda wa Polisi Arusha, Tabora.
45. NDG FUMBUKA NKWABI NG'WANAKILALA - ALIKUWA Mwandishi wa Daily News.
46. NDG NG'WIZUKULU JILALA - ALIKUWA Mganga wa jadi.
47. NDG JITIHADA KUDURA - Mhitimu darasa la saba Wailes 1993
48. PROF. Gamalieli Mgongo Fimbo - Mhadhiri na mtaalm wa sheria za Ardhi Chuo Kikuu
49. NDG Hassan Madimundwa- Mhitimu darasa la saba Hale 1994.
50. PROF. Kotti Mwana wa Liti wa Kamanga Mhadhiri, mtaalam sheria za kimataifa Chuo Kikuu
51. DKT. Palamagamba Kabudi- Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam
52. NDG Mgeni Kazikulinda, Mfanyabiashara maarufu Kibaha kwa Mathias
53. NDG John Mapinduzi Nakyambeto - MWANDISHI WA HABARI WA MAKAMU WA RAIS
54. NDG Twisakumketa Kyambakimpokile Mwambona
55. NDG Julius Masiaga Nyamhanga Nyaisanga ALIKUWA MTANGAZAJI RADIO ONE
56. NDG Mshokeli Mandari - ALIKUWA Mwanafunzi TSJ
57. NDG KUWAYAWAYA S. KUWAYAWAYA - ALIKUWA MBUNGE
58. NDG EMANUEL HERMAN KALIMANZILA - MPIGAPICHA

MAJINA YA WASHIRIKI KUTOKA NJE YA NCHI:
1. NDG SIPHOLIS MANTOMBAZANA - Naibu Waziri wa Afya Afrika Kusini.
2. NDG NTOMBI MTOMBENI - Mwanaharakati Haki za Wanawake Afrika Kusini.
3. NDG MBOO MPENZA - Mchezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji.
4. NDG JUNICHI INAMOTO - Mchezaji wa Japan
5. NDG ALBERTO TOMBA - Bingwa wa mchezo wa Skii Duniani.
6. NDG KENGO WA DONDO - Waziri wa zamani Mambo ya Nje Congo.
7. PROF.WAMBA DIA WAMBA - Mwanasiasa Congo.
8. NDG ABRADE KUMA - Mchezaji wa zamani wa Ghana.
9. NDG NDIKUMANA MAJID - Mchezaji wa Rayon ya Rwanda.
10. NDG POPOTE CHANGONO - Mchezaji wa zamani Malawi.
11. NDG MOBUTU SESESEKO KUKU NGBENDU WA NZABANGA RAIS WA ZAMANI ZAIRE

UJUMBE WA LEO: KAMWE USITAFUTE HESHIMA KWA KUUZA DHARAU!

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru