NSSF YANG'ARA MAONYESHO YA WAWEKEZAJI DAR ES SALAAM

MSIMAMIZI WA MRADI MKUBWA WA UJENZI WA KIJIJI CHA KISASA CHA DEGE ECO, BW. IRFAN KHAKHI (KUSHOTO), NA OFISA WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), WANAOJENGA KIJIJI HICHO, BW. PATRICK WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOTEMBELEA BANDA LA MAONYESHO LA SHIRIKA HILO, DAR ES SALAAM
OFISA WA NSSF PATRICK NA OFISA UWEKEZAJI ABDUL SHAMBA WAKIANGALIA KOMPUTA WAKATI WA MAONYESHO YA WAWEKEZAJI KWENYE UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, DAR ES SALAAM.
KHAKHI AKITETA JAMBO NA PATRICK (KATIKATI). HUKU SHAMBA AKIWASIKILIZA KWA MAKINI. WAKATI WA MAONYESHO YALIYOANZA MEI 2 NA KUMALIZIKAJANA MEI 4.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru