Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, June 20, 2014

RAIS KIKWETE AMPONGEZA MWANDISHI WA BLOG YA MPIGANAJI

Rais Jakaya Kikwete na Mwandishi wa Blog ya Mpiganaji, Nyakasagani Masenza wakiwa wameshikana mikono wakifurahia jambo, walipokuta wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais Ikulu ndogo, mjini Dodoma juzi, ambapo Rais Kikwete alimpongeza mwandishi wa Blog hii kwa kuripoti matukio kwa njia ya picha na kurusha hadithi za kusisimua. ASANTE SANA MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE.

No comments:

Post a Comment