ROTARY KLABU DSM YATAMBUA MCHANGO WA NSSF

 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Juma Kintu, akionesha tuzo ya shukrani iliyotolewa na Rotary Klabu Dar es Salaam, kutambua mchango wa sh. milioni 15, zilizotolewa na shirika hilo kuwezesha kusafirisha watoto 14 kwenda nchini Israeli kwa matibabu ya moyo. (Na Mpigapicha Wetu). (Na Mpigapicha Wetu)

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Juma Kintu (kulia), akipokea tuzo ya shukrani kwa Rais Rotary Klabu Dar es Salaam, anayemaliza muda wake, Bw. Zainul Dossa, kutokana na mchango wa sh. milioni 15, zilizotolewa na shirika hilo wa sh. milioni 15 kuwezesha kusafirisha watoto 14 kwenda nchini Israeli kwa matibabu ya moyo. (Na Mpigapicha Wetu)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru