Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, July 1, 2014

KAMISHNA WA POLISI JAMII AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA MKOANI KILIMANJARO

Kamishna wa Polisi Jamii Nchini, Mussa Ali Mussa, akiwapokelewa Wilayani Same Kilimanjaro, ambako alikwenda rasmi kuangalia jinsi Polisi wanavyoshirikiana na Jamii kuimalisha Ulinzi na Usalama wa Taifa.
Kamishna Mussa akipokea heshima kutoka kwa Makamanda wa Same, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro RPC Robert Boaz akiwa amesimama kanda ya Kamishna Mussa.
Kamanda Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz akitoa heshima kwa Kamishna Mussa.
 Kamishna Mussa akisikiliza taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro
Akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake Wilaya Same, Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment