Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, August 15, 2014

KASEJA ALAMBA MKATABA KUWA BALOZI WA NSSF

Mlinda mlango wa Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni Mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akikabidhiwa mkataba wake na Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi rasmi wa Shirika hilo katika Huduma Mbalimbali zitolewazo na shirika hilo, Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment