MZEE MUSIKA APOKEA TUZO MAALUM KWA AJILI YA MKEWE

MZEE SAMWEL MUSIKA (KUSHOTO), AKIPOKEA TUZO MAALUM KWA AJILI YA MKEWE, BIBI SIA KUTOKA KWA MWANAYE, DKT. KANDOLE MUSIKA (WA PILI KULIA), BAADA YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KAMA BABA NA MAMA WALIOWALEA KWA MAFANIKIO.
MZEE MUSIKA AKIELEZA FURAHA YAKE BAADA YA KUPOKEA TUZO HILO, WAKATI WA MAHAFARI YA KWANZA YA CHUO CHA AFYA NA TIBA KAM, KILICHOKO KIMARA, DSM.
DKT. KANDOLE MUSIKA AKIMSHIKA MKONO BABA YAKE MZEE SAMWEL BAADA YA KUMTUNUKU TUZO MAALUM YA MALEZI MEMA. HONGERA MZEE SAMWEL MUSIKA.

 MC WA MAHARI HAKUWA NYUMA AKIONYESHA TUZO HIYO KWA WAHITIMU WA KAM
BINTI MDOGO WA MZEE SAMWEL MUSIKA, MONGELE MUSIKA AKIMSAIDIA BABA YAKE KUBEBA TUZO NA FIMBO MAALUM ANAYOTUMIA KWA AJILI YA KUTEMBELEA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru