WASANII WAJIFUA KUSHIRIKI FILAMU YA KIKOMANDOO DAR

WASANII KUTOKA MAKUNDI UIGIZAJI, JIJINI DAR ES SALAAM WAKIJIFUA VIWANJA VYA KLABU YA TAZARA KWA AJILI YA KUSHIRIKI FILAMU YA UPELELEZI 'KARATASI ZA SIRI'
 WAKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO KABLA YA KUSHIRIKI MAZOEZI YA MAPIGANO
 WAKIPASHA VIUNGO MOTO, WAKIWA NA SHAUKU KUBWA YA KUFANYA VIZURI
 WAKIENDELEA NA MAZOEZI YA KUSISIMUA VIUNGO
 WAKIONYESHA MOJA YA MAZOEZI YA MAPIGANO YA KURUSHA MATEKE NYUMA
 WASANII WAKIONYESHA JINSI WANAVYOJIFUA KWA AJILI YA KUSHIRIKI FILAMU HIYO
 WASICHANA PIA WAKIONYESHA UMAHILI WA KUSHIRIKI MAZOEZI YA VITENDO
BAADHI YA WASANII WALIOKUWA NA DHARURA WAKIFUATILIA MAZOEZI KWA MAKINI

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru