Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, September 12, 2014

HABARI NJEMA ZA UPONYAJI KWA WATU WOTE

MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA KANANI MAOMBEZI NA UMISHENI, BARAKA MWEKWA (PICHANI), AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, JIJINI ARUSHA LEO KUHUSU MAOMBEZI NA KUPONYA WAGONJWA KUPITIA NENO LA MUNGU KUPITIA KANISA HILO LIKO OLOSIVA KWA IDDI.
 "WALETENI WAGONJWA, WATAPONYWA MAGONJA YAO KWA JINA LA YESU".
MCHUNGAJI BARAKA AKIWA OFISINI OFISINI KWAKE OLOSIVA KWA IDDI, ARUSHA
 'NENO LA MUNGU LINAPONYA, NJOONI NYOTE WENYE SHIDA, MTAPONYWA".
MCHUNGAJI BARAA AKISISITIZA JAMBO ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.

1 comment: