Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, September 16, 2014

MAHAFARI ST. THOMAS ARUSHA, BURUDANI ZATIA FORA

MWANAFUNZI WA SHULE YA KIMATAIFA YA ST. THOMAS ARUSHA, AKIONYESHA UTAMADUNI WA KIMASAI WAKATI WA UCHUMBIANA NA HATIMAYE NDOA, WAKATI WA MAHAFARI YA 11 YA DARASA LA SABA YALIYOFANYIKA SHULENI HAPO JUZI.
MWANAFUNZI WA KIUME ST. THOMAS AKIONYESHA JINSI WANAUME WA JAMII YA WAMASAI WANAVYOKUTANA NA WACHUMBA WAO KABLA YA KUFUNGA NDOA
WATOTO HAWA WA ST. THOMAS ARUSHA WALIKUWA KIVUTIA KIKUBWA WAKATI WA MAHAFARI YA 11 KWA KUTOA BURUDANI MBALI MBALI KUHUSU MAMBO YA ASILI.

No comments:

Post a Comment