TBL YAWAPIGA JEKI MBAGALA ROUND TABLE MATERNITY MIL 20 ZA MAJIMwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Alen Mwebuga (kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Mbagala Round Table Maternity Home, Dkt. Baturi Luhanda, mfano wa Hundi ya Milioni 20, za kuchimba kisima cha maji. Wengine  ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (wa pili kulia), Mhandisi wa Maji, Onesmo Zakaria na Rais wa Rotary Klab, Agnes Batenga.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru