Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, November 5, 2014

ORIJINO KOMEDI WATIA FORA KILIMANJARO

Usanii ni kipaji, hawa ni wasanii wa kundi la Original Komedi, Joti (kushoto) na Mark Regan Kipara. wakionyesha uwezo wao wa kucheza na jukwaa, kwa kujibadili kama watoto wa shule, wakati wakitoa burudani kwenye uwanja wa Ushirika Mjini Moshi hivi karibuni.
Hapa wasanii wa Orijino Komedi Mark Regan Kipara mwenye mavazi ya shule, akicheza jukwaani na mwenzake Vengu.

No comments:

Post a Comment