Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, November 12, 2014

RC KILIMANJARO KUWEKA JIWE LA MSINGI JENGO HILI KESHO

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, BW. LEONIDAS GAMA, ATAWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO HILI LA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), LILILOKO MTAA WA AGA KHAN, MJINI MOSHI KESHO, TARATIBU ZOTE ZIMEFANYIKA. 
JENGO LA KISASA LA NSSF, LINAVYOONEKANA UPANDE WA KUSHOTO, HUKU UJENZI UKIENDELEA KWA KASI. VYUMBA VYOTE VYA JENGO HILO VIMESHAKOPANGISHWA.

JENGO LINAVYOONEKANA UPANDE WA NYUMA NA KUIFANYA MOSHI KUWA MIJI WA KUVUTIA

No comments:

Post a Comment