Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam wa Masuala ya Majadiliano ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Sudan, Nagmeldin El-Hassan akimkaribisha Makamu wa Rais wa Tanzania kushiriki mkutano wa Mazingira katika Jiji la Lima, Nchini Peru.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal (kulia), akizungumza na wawakilishi wa Nchi za Afrika wakati wa mkutano wa Mazingira (COP20), uliofanyika Lima, nchini Peru kujadili Mabadiliko ya Tabianchi Dunia.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwaaga baadhi ya wawakilishi wa nchi za Afrika baada ya mkutano wa mazingira ulijadili kwa kina Mabadiliko ya Tabianchi.
Comments
Post a Comment