MAMA FUE, LYAMUYA WAHITIMU SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA

 HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO KARATU, MKOANI ARUSHA, MHE. MARTINA FUE AKIWA NA FURAHA BAADA YA KUHITIMU  NA KUTUNUKIWA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA CHUO KIKUU HURIA, KIBAHA, MKOANI PWANI JUZI
 HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO MONDULI, MKOANI ARUSHA, MHE. VENERANDA LYAMUYA, AKIWA MWENYE FURAHA BAADA YA KUHITIMU NA KUTUNUKIWA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA KATIKA CHUO KIKUU HURIA, KIBAHAHA, MKOANI PWANI JUZI.
MHE. MARTINA FUE AKIWA NA WAHITIMU WENZAKE WA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA, BAADA YA KUTUNUKIWA NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, ASHAROSE MIGIRO, KIBAHA, MKOANI PWANI MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA.
MHE. VENERANDA LYAMUYA AKIWA NA WAHITIMU WENZAKE WALIOTUNUKIWA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA, KIBAHA, MKOANI PWANI MWISHONI MWA WIKI


MHE. MARTINA (WA TATU KUSHOTO) WAKITOKA BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, ASHAROSE MIGIRO.
MHE. MARTINA FUE (KULIA), VENERANDA LYAMUYA (KATIKATI) WALIOHIMU SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA NA BI. FLORA LYAMUYA ALIYEHITIMU SHAHADA YA KWANZA YA UALIMU, WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUHITIMU CHUO KIKUU HURIA, MKOANI PWANI

BAADHI YA WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru