JK AKABIDHI TUZO KWA WAJUMBE WA JOPO LA TATHIMINI YA BRN

 Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Program ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa sasa (BRN Independent Review Panel), ambao ni Rais Mstaafu wa Botswana, Dkt. Festus Mogae (wa tatu kushoto), Makamu wa Rais Mstaafu wa Benki ya Dunia, Bw. James Adams (wa pili kushoto), Gavana wa Benki Kuu ya Botswana, Bi. Linnah Mohol (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kanda ya Afrika, .ONE Dkt. Sophia Moy. Waliosimama nyuma ni Mwanzilishi wa Mandela Institute, Dkt. Nkosana Moyo (kulia), Mwenyekiti wa Global Counsel Uingereza, Lord Peter Mandelason na Mwenyekiti wa Trident Asset Bw. Knut Kjaen.

 Rais Mstaafu wa Botswana, Dkt. Festus Mogae (wa tatu kushoto) akipokea tuzo maalumu ya Vision 2025 Big Result Now (BRN)  kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kanda ya Afrika, .ONE Dkt. Sophia Moy, akipokea tuzo maalum Vision 2025 Big Result Now (BRN) kutoka kwa Rais Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Benki ya Dunia, Bw. James Adams, akipokea tuzo maalumu Vision 2025 Big Result Now (BRN) kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru