Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, January 12, 2015

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF KIJICHI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (wa pili kushoto), akimsikiliza, Meneja Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo, wakati akimuonyesha ramani za nyumba zinazojengwa na shirika hilo, alipofanya ziara eneo la mradi huo, Kijichi Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau.
 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (wa pili kushoto), akimsikiliza kwa makini, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau.


Meneja Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo (aliyenyoosha mkono), akifafanua jambo kwa mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, alipotembelea eneo la mradi wa nyumba za kisasa Kijichi, Dar es Salaam jana. 
 
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau akifurahia jambo wakati akimuongoza Mama Salma Kikwete, kuangalia eneo la mradi huo, Kijichi, Dar es Salaam jana.
 

No comments:

Post a Comment