Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, January 24, 2015

TBL YAIPIGA JEKI ZAHATI YA MJI MWEMA KIGAMBONIAfisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Dorice Malulu (kulia), akikabdhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 45, kwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Mji Mwema, Kigamboni, Bw. Richard Mwita, zilizotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushooto), Bi. Upendo Mwabulambo (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simb
Mwakilishi Mkuu wa Mganga wa Manispaa ya Temeke, Bw. Shaidi Simba (kulia), akimkabidhi Mhandisi Amiri Msangi mfano wa hundi ya milioni 45 zilizotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa ajili ya kusaidia kuchimba kisima cha maji kwenye Zahanati ya Mji Mwema. Katikati ni Mganga Mkuu wa Zahanati hiyo, Dkt. Richard Mwita, Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Omari Kombe (kushoto) na Muuguzi, Bi. Upendo Mwabulambo.


No comments:

Post a Comment