YANGA YAWAPIGISHA KWATA BDF XI YA BOTSWANA

WAWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA KOMBE LA SHIRIKISHO YANGA AFRIKA KILICHOWAHENYESHA WANAJESHI WA BOTSWANA, UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM LEO
KIKOSI CHA WAWAKILISHI WA BOTSWANA, WANAJESHI WA BDF XI WALIOTINGA NCHINI NA KUPIGISHWA KWATA NA YANGA, UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
KOCHA MKUU WA YANGA, HANS VAN PLUIJIM, MSAIDI WAKE CHARLES BONIFACE MKWASA, KOCHA WA MAGOKIPA JUMA PONDAMALI NA BENCHI LA UFUNDI LA YANGA WAKIFUATILIA MCHEZO HUO KWA MAKINI UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM LEO
NAHODHA WA BDF XI MOMPATI THUMA AKIPITA KWENYE BENCHI LA KLABU HIYO KUWAPA MATUMAINI YA USHINDI WALIPOKUTANA NA YANGA NA KUBAMIZWA 2-0
KOCHA MKUU WA YANGA HANS VAN PLUIJM AKIMKUMBATIA KWA FURAHA MFUNGAJI WA MABAO YA LEO YA YANGA, MRUNDI AMISI TAMBWE, BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA KATIKA DAKIKA YA KWANZA NA KUFUNGA TENA BAO LA PILI, UWANAJA WA TAIFA  LEO.
WACHEZAJI WA AKIBA WA YANGA WAKIJUMUIKA NA WENZAO KUSHANGILIA BAO LILIFUNGWA NA MSHAMBULIAJI AMISI MTAMBWE LEO
 WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA WAMEMKUMBATIA KOCHA WAO BAADA YA USHINDI
MWAMZI THERRY NKURUNZINZA KUTOKA BURUNDI AKIWAHIMIZA WACHEZAJI WA YANGA KURUDI UWANJANI BAADA YA KUSHANGILIA BAO LA KWANZA DHIDI YA BDF LEO
MSHAMBULIAJI WA YANGA AMISI TAMBWE, AKIJARIBU KUMTOKA NAHODHA WA BDF XI MOMPATI THUMA
ANDREW CONTHO AKIJARIBU KUMTOKA MLINZI WA BDF XI PELONTLE LEPOLE
ANDREW CONTHO, AKIJARIBU KUPIGA MPIRA LANGONI MWA BDF XI BAADA YA KUMTOKA PELONTLE LEPOLE.
ACHENI HASIRA, NDIVYO ANAVYOONEKANA KUSEMA MSHAMBULIAJI WA YANGA MRISHO NGASA BAADA YA WACHEZAJI WA BDF XI KUMZONGA AMISI TAMBWE WA YANGA.
 MWAMZI ANAINGILIA KATI KUTULIZA GHASIA BAADA YA KUTOKEA KUTOELEWANA
FUNDI HARUNA NIYONZIMA, AKITAFUTA MBINU ZA KUMTOKA MLINZI WA BDF XI PELONTLE LEPOLE
 HAPA NIYONZIMA AKIFANYA VITU VYAKE UWANJANI
 HUYO ANAKWENDA
 MASHABIKI WA YANGA WAKISHANGILIA TIMU YAO
MASHABIKI WA SIMBA WAKIWA KATIKA HALI YA KUTOAMINI MATOKEO

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU