Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, March 4, 2015

KINANA ATINGA DODOMA KWA ZIARA YA SIKU TISA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Bw. Adam Kimbisa, alipotua mjini humo leo asubuhi kwa ajili ya ziara ya siku tisa ya kikazi. Akiwa mkoani Dodoma, Kinana anatarajiwa kukagua na kuhimiza miradi ya wananchi pamoja na kuangalia uhai wa chama.


Katibu Mkuu Kinana akisalimiana kwa kukumbatiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Luteni Mstaafu Chiku Galawa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM wa Mkoa huo, Bw. Albert MgumbaKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma baada ya timu ya kazi ya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana kuwasili Dodoma leoKatibu Mkuu wa CCM akizungumza na baadhi ya wanachama wa CCM waliofika kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Dodoma leo kwa ajili ya kumpokea.

No comments:

Post a Comment