NSSF MEDIA CUP ILIVYOZINDULIWA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga akipiga mpira na kufunga bao, wakati akizindua rasmi michuano ya 12 ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii 'NSSF Media Cup 2015', viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam.  Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa na Meneja Mahusiano na Huduma kwa Wateja, Unice Chiume. 
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga akirusha mpira kufunga bao, wakati akizindua rasmi michuano ya 12 ya Netiboli ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF Media Cup 2015), kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam leo.
 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga akijiandaa kurusha mpira kuzindua rasmi michuano ya 12 ya Netiboli ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF Media Cup 2015), kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga akipokea mpira kutoka kwa mmoja wa waamuzi wa mchezo wa netiboli, Dar es Salaam leo.
 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga akisalimiana na Nahodha wa NSSF Norrah Mwidunda, wa Shirika la Taifa la Taifa la Hifadhi ya Jamii alipozijndua michezo ya NSSF Media Cup 2015, kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, akisalimiana na Afisa Mwandamizi wa NSSF, Devota Ikandilo, timu ya NSSF ilipopata ushindi wa chee baada ya wafungwa na wapinzania wao.
Kikosi cha NSSF lbaada ya kutaibuka na poiti tatu na mabao 40, baada ya Azam kushindwa kutokea uwanjani leo na kupoteza mchezo.TBC baada ya kuwabangua Free Media kwa bao 1-0 TCC leo


Free Media baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa TBC leo

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru