TBC YAWADUWAZA NSSF

TIMU YA SOKA YA TBC ILIYOWADUWAZA NSSF KWA BAO 1-0 KWENYE VIWANJA VYA TCC, CHANG'OMBE DAR ES SALAAM LEO NA KUTINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA 12 YA NSSF MEDIA CUP 2015
TIMU YA SOKA YA NSSF ILIYOFUNGWA BAO 1-0 NA TBC NA KUAGA MASHINDANO
MSHAMBULIAJI WA TIMU YA NSSF, ALI CHUU AKIPISHANA NA KIPA WA TBC NALINGA MKUMILA WAKATI WA MCHEZO WA MTOANO KUWANIA KOMBE LA NSSF 2-15, DAR ES SALAAM LEO
WINGA MAHADH MAHAMOUD WA NSSF AKICHUANA VIKALI NA MLINZI WA TBC HAMIS DANKOTA WAKATI WA MCHEZO WA MTOANO KUWANIA KOMBE LA NSSF LEO
PATRICK GANDYE WA TIMU YA SOKA YA NSSF AKITAFUTA MBINU ZA KUMTOKA MLINZI WA TBC, SHAABAN KASIMU, TIMU HIZO ZILIPOCHUANA KWENYE VIWANJA VYA TCC DAR ES SALAAM LEO. TBC WAMESHINDA 1-0.
WASHAMBULIAJI WA NSSF ALI CHUU (KUSHOTO NA MAHADHI MAHAMOUD WAKIHAHA KUTAFUTA BAO LA KUSAWAZISHA HUKU WALINZI WA TBC WAKIWA MAKINI KUWALINDA.
MAHADHI MAHAMOUD WA NSSF AKILINDWA VILIVYO NA MLINZI WA TBC HAMIS DANKOTA ILI ASILETE HATARI KWENYE LANGO LAO, TCC DAR ES SALAAM LEO
MLINZI WA TBC WALTER SEMBULI AKIONDOA MPIRA KWENYE LANGO LAKE HUKU MSHAMBULIAJI WA NSSF PATRICK GANDYE AKIUMEZEA MATE. TBC IMESHINDA 1-0.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru