WARIOBA NA WENZAKE WAFANYA MAAJABU YA SOKA KARUME

WATOTO WANAOSAKA NAFASI YA KUJIUNGA NA SHULE MAALUM YA NSSF SOCER ACADEMY WAKIWA KWENYE MSTARI KWA AJILI YA MAJARIBIO. AKIWEMO WARIOBA NYAKASAGANI (WA NNE KULIA),
WATAALAM WA SOKA LA WATOTO WAKIMKABIDHI WARIOBA VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA MAJARIBIO

WATOTO WALIOANDALIWA WAKISUBIRI KUINGIA UWANJANI KUCHEZA SOKA LA MAJARIBIO KUWANIA NAFASI 500 ZA KUJIUNGA NA NSSF SOCCER ACADEMY UWANJA WA KARUME, DAR ES SALAAM
WATOTO SITA WALIOUNDA TIMU MOJA WAKIJIFUA KWA MAZOEZI MEPESI  KABLA YA KUINGIA DIMBANI, UWANJA WA KARUME KUONYESHA UWEZO WA KUCHEZA SOKA
WATOTO WAKIENDELEA NA MAZOEZI MEPESI YA VIUNGO KWA AJILI YA KUJIWEKA VIZURI KWA MCHEZO WA MAJARIBIO KUSAKA NAFASI YA KUJIUNGA NA NSSF SOCCER ACADEMY

WARIOBA NYAKASAGANI (KULIA), AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WACHEZAJI WENZAKE KABLA YA KUINGIA UWANJANI
 WARIOBA (ANAYEKIMBIA KUSHOTO), AKIWANIA MPIRA WAKATI WA MAJARIBIO
MKUFUNZI WA SOKA LA WATOTO AKIZUNGUMZA NA WATOTO HAO BAADA YA KUMALIZA KUFANYA MAJARIBIO. HALI HII IKIENDELA TAIFA LITAKUWA NA WACHEZAJI WA UHAKIKA.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru