Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, May 23, 2016

KINTU WA NSSF AZUNGUMZA NA WANA MICHEZO Z'BAR

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Juma Kintu, akizungumza na Viongozi wa michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi ya Elimu ya juu, lililodhaminiwa na NSSF. Tamasha hilo la kila mwaka lilizunduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein, kwenye viwanja vya Amani.

No comments:

Post a Comment