Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, May 11, 2016

PIZZA HUT WAZINDUA MGHAHAWA NCHINI TANZANIA

 Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Mark Childress katikati), akiwasili kwenye jengo la Mkuki Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuzindua Mghahawa wa kisasa wa PIZZA HUT.

Vikram Desai (katikati), akijiandaa kukata utepe kuzindua rasmi Mghahawa huo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mghahawa huo, Randall Blackford na Vikram Desai
Balozi Mark Childress, baada ya kukata utepe kuzindua Mghahawa huo wa 100, Dar es Salaam leo.
Balozi  Mark Childress, akiteta na wamiliki wa Mghahawa huo
Alfred Woiso, akila Pizza baada ya Balozi wa Marekani Nchini Tanzania kuzindua Mghahawa wa PIZZA HUT, Dar es Salaam leo
 Balozi Mark Childress akiangalia baadhi ya picha.
 Wageni wakifurahia kula Pizza baada ya Mghahawa huo kuzinduliwa, Dar es Sakaam leo
 Vikram Desai akizungumza na wageni waarikwa
 Balozi Mark Childress, akizungumza na wageni waarikwa
 Balozi Mark Childress na wageni waarikwa wakila Pizza
Wageni kutoka sehemu mbalimbali walioshuhudia uzinduzi wa Mghahawa wa PIZZA HUT, Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment