Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, June 20, 2016

JESHI LA UHAMIAJI LATANGAZA KIAMA KWA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI

 Kaimu Kamishna wa Utawala na Fedha kutoka Jeshi la Uhamiaji Nchini, Abbas Irovya aliyenyoosha mikono akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu ripoti ya operesheni mbalimbali zinazofanyika nchini kudhibiti wahamiaji haramu. Wa kwanza kulia ni Mkaguzi wa Uhamiaji, Leslie James Mbotta (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo).
 Kaimu Kamishna wa Utawala na Fedha kutoka Jeshi la Uhamiaji, Abbas Irovya (wa pili kushoto) akiteta jambo na wanahabari hawapo pichani wakati akitoa ripoti ya operesheni zinazoendelea nchini kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu. Kulia ni Mkaguzi wa Uhamiaji Leslie James Mbotta, Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo Bi. Rosemary Mkandala.(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo).No comments:

Post a Comment