MGAMBO WILAYANI RUFIJI WASHIRIKI KUFANYA USAFI

 Mwalimu Mlawa, akikabidhi kisanduku cha kuhifadhi fedha kwa Mtunza fedha wa Kikundi cha Vicoba, Bi. Siwa Said
 Mwezeshaji, Bw. Said Mtoteke (kulia), akikabidhi leja ya mfuko wa jamii kwa ajili ya kumbukumbu za kikundi Vicoba kwa Bi. Nyamtinga Rwambo
 Wasanii wakishiriki kwa njia moja ama nyingine kufikisha ujumbe wa kuelimisha jamii kuhusu usafi wa mazingira, wakati ya siku ya usafi iliyofanyika Ikwiriri, Rufiji, Mkoani Pwani juzi.
 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Mgambo, wakifanya usafi katika eneo la Soko Kuu la Ikwiriri, lililoko Wilayani Rufiji, Mkoani Pwani, ikiwa ni siku maalumu ya kusafisha mazingira ya wilaya hiyo. PICHA ZOTE NA SEIF NONGWA.
Hapa wakichoma na kuteketeza takataka baada ya kufanya usafi wa mazingira katika Soko hilo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru