Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, September 2, 2016

MGAMBO IKWIRIRI WASHIRIKI USAFI WA MAZINGIRA

 Afisa Mtendaji wa Kata ya Ikwiriri, mkoani Pwani, Bw. Likwembe, wakishirikiana na Mgambo wa Mji wa Ikwiriri, kufanya usafi wa mazingira.
Afisa Tarafa ya Ikwiriri, mkoani Pwani, Bw. Majuto  na Mtendaji wa Kata ya Ikwiriri, Bw. Likwembe wakishiriki zoezi la usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi. (PICHA ZOTE ZA SEIF NONGWA, IKWIRIRI)

No comments:

Post a Comment