BALOZI WA ITALIA AVUTIWA NA KAZI ZA WALEMAVU

 Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni akimwangalia kwa makini Mlemamvu wa macho, Masoud Maluma, anayepata mafunzo ya ushonaji yanayoratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Tanzania (TanTrade). Wengine ni Mkurugenzi wa Huduma za Biashara, Fidelis Mugenyi na Kaimu Mkurugenzi TanTrade, Edwin Rutageruka.
 Balozi Roberto akiangalia baadhi ya kaptula zilizoshonwa na mlemavu wa macho, Abdallah Nyangalio (kushoto), ambaye ni Mkufunzi na mlemavu wa macho, wakati wa mafunzo ya ushonaji kwa wasioona yanaratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Edwin Rutageruka. (NA BENJAMIN SAWE- MAELEZO)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU