Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Sunday, December 11, 2016

KOCHA LWANDAMINA ASHINDWA KUAMINI YANGA IKILALA MBELE YA JKU


Mshambuliaji nguli wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akipiga mpira mbele ya kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohamed Abrahaman, zilipocheza mchezo wa kirafiki kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ililala 2-0.

Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (kulia) na Msaidizi wake Juma Mwambusi wakiwa hawaamini kinachotokea baada ya timu yao kulala 2-0 mbele ya JKU

No comments:

Post a Comment