KUMEKUCHA UCHAGUZI MDOGO ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali Mstaafu Abdulrahiman Kinana (kushoto) akimtambulisha kwa wapiga kura Mgombe Ubunge wa Jimbo la Dimani Juma Ali Juma, wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, Visiwani Zanzibar jana.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali Mstaafu Abdulrahiman Kinana, akizungumza na wananchi wa Dimani wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo
 Katibu wa Uenezi na Itikadi, Humphrey Polepole akiwasalimia wapiga kura wa Jimbo la Dimani jana, baada ya kutambulishwa.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Rodrick Mpogolo, akiwasalimia wananchi baada ya kutambulishwa rasmi na Katibu Mkuu wa CCM Taifa.
Wana CCM wa Dimani wakisalimia wageni

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru