Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, January 17, 2017

SERIKALI YASITISHA MSIMAMO WA ZUIO LA MATUMIZI YA MIHURI KWA WENYEVITI SERIKALI ZA MITAA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), GeorgeSimbachawene, akizungumza na wawakilishi kutoka Serikali za Mitaa, Jijini Dar es Salaam leo kuhusu mwongozo wa zuia la matumizi ya mihuri kwa Wenyekiti wa Serikali za Mitaa 
  Waziri GeorgeSimbachawene (kushoto), akijadiliana jambo na Wawakilishi kutoka Serikali za Mitaa, Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya Wawakilishi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), GeorgeSimbachawene, alipokutana nao Dar es Salaam leo.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), GeorgeSimbachawene, akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukutana na wawakilishi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), GeorgeSimbachawene (mwenye suti nyeusi), akisisitiza jambo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), GeorgeSimbachawene, akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa.

No comments:

Post a Comment