Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, January 16, 2017

WATOTO WALIOFIA NDANI YA GARI WAAGWA DAR

 Baadhi ya waombolezaji wakipita kanisani wakati wa misa ya kuwaaga watoto wa Maofisa wa Jeshi la Magereza waliopoteza maisha baada ya kukosa hewa wakiwa ndani ya gari Jijini Dar es Salaam.
 Waumini wakiwa kanisani wakati wa ibada ya kuwaaga watoto hao kabla ya safari la kuelekea Mkoani Rukwa kwa mazishi
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiombewa na viongozi wa kanisa, Jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya wanafunzi wakiwa kanisani wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa mwanafunzi mwenzao
Padri akiombea jeneza lenye mwili wa mtoto aliyepoteza maisha kwa kukosa hewa ndani ya gari wakati wa ibada maalumu ya kumuombea, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment