UWANJA WA KISASA KUJENGWA JIJINI DODOMA

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kushoto) akiwa na Wataalam wa Usanifu majengo, udongo na ujenzi wa viwanja vya mpira wa miguu kutoka Morocco ambao wamekuja kwa ajili ya hatua za awali za ujenzi wa Uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma. Ujenzi wa uwanja huu ni matokeo ya ziara ya Mfalme Mohamed wa 6 wa Morocco alioahidi kwa Rais John Pombe Magufuli. Zaidi ya ekari 300 zimetengwa eneo la Changamani mjini Dodoma.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU