VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA

 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Hisham Hendi, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu zitakazoshiriki Ligi Mkuu msimu ujao, Dar es Salaam leo.
 Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Simu ya Vodacom ilipokabidhi vifaa vya michezo kwa timu 16 zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam leo. 
 Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas akifafanua jambo wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Vodacom kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu 16 za Ligi Kuu Tanzania Bara, Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wawakilishi wa vilabu vya Ligi Kuu 2017/ 2018
 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Hisham Hendi, akikabidhi keki kwa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, kama ishara ya uzinduzi wa Ligi Kuu ya Vodacom.
 Picha ya juu na chini. Baadhi ya wawakilishi wa vilabu vya Ligi Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Vodacom na TFF baada ya kupokea vifaa vya michezo kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru