KUFA NA KUPONA

Kidokezo 

Wakati wote wa upelelezi wake mgumu, mpelelezi Willy Gamba hakuamini kwamba mrembo Lina alikuwa upande wake, ingawa alikuwa mpenzi wake mkubwa. Lakini aliamini hayo alipookolewa na Lina kutoka kinywa cha mauti. Mshangao mwingine wa furaha kwa Willy ni wakati alipogundua kwamba hata mrembo Lulu alikuwa mpelelezi mwenzake, lakini aliyejiweka upande wa wasaliti wa Afrika!

Itaanza rasmi 0784296253

Comments

  1. Mkuu Nyakasageni, ninakushukuru sana kwa huduma yako. Napendekeza hii pia iwe mfululizo kama KIKOMO. Tulipata burudani safi kabisa

    ReplyDelete

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU