YANGA WAONESHA UWEZO UHURU

 MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Dar es Salaam Yanga Afrika (pichani juu) leo wamewaduwaza mahasimu wao wakubwa Simba, baada ya kusawazisha goli dakika moja tu baada ya kufungwa. Simba walitumia makosa ya mabeki wa Yanga na kujipatia bao lao dakika ya 12 kupitia kwa Shiza Kichuya, lakini goli hilo lililodumu kwa dakika moja tu baada ya Yanga kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji Obrey Chirwa.














Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU